0711814255

STAR HERBALIST, TANGA

Jitibu kwa kutumia mimea tiba &

Wednesday, May 17, 2017

PUNGUZA KITAMBI NA UNENE

PUNGUZA KITAMBI & UNENE WEWE
MWENYEWE KWA RATIBA ZIFUATAZO;
Hapa nakuletea ratiba ya kupunguza
unene/uzito
kwa muda wa siku saba kwa kutumia lishe
maalum;
(1)Siku ya kwanza asubuhi kula matunda
(lakini katika matunda hayo usile ndizi).Mchana chemsha kabichi,weka chumvi kidogo na nyanya na
upate supu kisha kula mchanganyiko huo.Jioni kula tikiti maji na mboga mboga au kabichi uliyotengeneza mchana.
(2) Siku ya pili kula mboga za majani
asubuhi (usile mboga za majani zenye wanga kama karoti).Mchana kula kabichi iliyochemshwa ,tengeneza na kachumbari.katika kabichi weka chumvi,pilipili na mafuta ya olive.Jioni unaweza kula mlo kama wamchana lakini unaweza kukaanga mboga nyingineza majani.
 

(3)Siku ya tatu kula mboga za majani na
matunda ,unaweza kuongeza kiazi kitamu
kimoja .
(4)Siku ya nne kula ndizi moja na unywe
na
maziwa ya mtindi wakati wa asubuhi
,Mchana kula
kabichi kama ulivyoitengeneza kwenye
siku ya
kwanza,usiku rudia mlo wa mchana.
(5)Siku ya tano kula nyanya nn pamoja na
samaki
au kipande cha kuku asubuhi.Mchana
unaweza
kula samaki wa kuchemsha kiasi ambaye
amechanganywa na nyanya.Wakati wa
jioni
unaweza kula chakula kama cha mchana.
(6)Siku ya sita unaweza kula chakula cha
protin
na mboga za majani.Anza siku kwa kula
kachumbari asubuhi.Mchana kula tambi
kiasi na
kipande kidogo cha samaki.Usiku
tengeneza supu
ya kabichi.
(7)Siku ya saba anza kwa matunda na
juisi,Mchana kula mboga za majani na
usiku kula
supu ya kabichi na kiazi kimoja.
NB:Unatakiwa kunywa maji angalau glasi
nne
kila siku.Dayati hii ni kwa siku saba tu.
Tembelea kila mara kurasa wetu huu pia
like.
Simu; 0677-619227
Tanga.

Related image

1 comment:
Write comments
  1. Nataka kutoa ushuhuda kuhusu jinsi nilivyopona kutokana na Virusi vya Herpes. Miezi michache iliyopita nilikuwa na dalili kadhaa. Nilienda kumuona daktari na vipimo vingi vya damu vilifanywa kwangu, baadaye niliambiwa nilikuwa na Herpes. Daktari wangu aliniambia kwamba hakuna tiba ya Herpes. Nilijisikia vibaya, niliingia mtandaoni nikitafuta tiba inayowezekana ya Virusi vya Herpes, niliona chapisho la Dkt. Dawn, daktari wa mitishamba anayewasaidia watu kupona kutokana na Herpes. Saratani. VVU na mengineyo. Niliwasiliana naye na kumwambia jinsi ninavyohisi. Alisema dawa yake ya mitishamba inaweza kuniponya. Alinitumia dawa kupitia huduma ya utoaji wa UPS na nilipokea dawa siku 6 baada ya kuituma, nilichukua dawa kama alivyoniagiza. Kabla sijakamilisha dawa dalili zilisimama. Nilienda kwa daktari na kufanya kipimo kingine cha damu, cha kushangaza nilikuwa hasi. Sijapata dalili tena. Dkt. Dawn ni mzuri na unaweza
    kuwasiliana kwenye WhatsApp: +2349046229159
    Gmail ( dawnacuna314@gmail.com )

    Ikiwa unahitaji dawa za mitishamba kutibu magonjwa yoyote sugu au ya zinaa kama.
    HERPES.
    SARATANI.
    VVU/UKIMWI na zaidi

    ReplyDelete

Hey, we've just launched a new custom color Blogger template. You'll like it - https://t.co/quGl87I2PZ
Join Our Newsletter