Mapera ni matunda ya msimu yenye wingi wa vitamini A na C, madini ya potasiam,nyuzi nzuri ya fiber na 'lycophene' vyotehivi ni muhimu kwa afya.Watu wengi hutumia tunda tu pasipokujua si tunda pekee lenye manufaa kwa afya. Majani ya mpera ni mazuri kwa ajili ya ngozi, nywele na afya kwa ujumla. Ifatayoni njia kadhaa za kutumia majani ya mpera
kwa ajili ya afya yako.
1.Chai ya majani ya mpera inasaidia mwili
kuwa stadi, inasaidia madini ya
carbohydrates isigeuzwe kuwa sukari
ndani ya mwili hivo kupunguza hamu ya
kula. 2.Chai ya majani ya mpera pia inashusha
kiwango cha sukari mwilini na kuzuia
mwili kuondoa 'insulin'. Kwa sababu ya hii
wagonjwa wa sukari wanashauriwa
kuitumia mara kwa mara.
3.Chai ya majani ya mpera pia hupunguza
lehemu mbaya(bad cholestrol) bila
kudhuru lehemu nzuri.
4.Chai hii ina nguvu za kudhibiti vijidudu
vya magonjwa mwilini hasa kuzuia
magonjwa ya kuharisha na kipindupindu.
5.Chai hii inatiza mchafuko wa tumbo na
pia inasaidia kukabili madhara yaletwayo
na chakula chenye sumu.
6.Chai hii hutibu kukooa na kupumua kwa
tabu.
7.Upatapo uvimbe wa fizi na maumivu
mdomoni kama jino kuuma, tafuna majani
ya mpera.
8.Kwa matatizo ya homa ya dengue,
chemsha glasi mbili na nusu na majani ya
mpera (kadiria majani 9) mpaka maji
yabakie nusu ya ujazo wa awali.
9.Chai ya majani ya mpera imefahamika
kutibu kansa na 'prostrate' kwa
wanaume.
10.Chai hii inasaidia kwa wanaume wenye
tatizo la kuzalisha (Infertility).
11.Ponda majani ya mpera na kuweka
sehemu ya kidonda au iliyokatika kuondoa
maambukizi. Kwa maumivu nje ya sikio
tumia chai ya majani ya mpera. Tia
matone ya chai hii iliyopoa kwenye
sehemu iliyoathirika.
13.Majani ya mpera hupondwa na
kupakwa eneo lenye muwasho uletwao na
allergy.
14.Unapoumwa na wadudu majani
yalipondwa ni tiba sahihi.
15.Majani ya mpera yana saidia kupigana
na mba na chunusi kutokana na wingi
wake wa vitamini C.
16.Kuondoa madoa meusi kwenye ngozi
ponda majani ya mpera changanya na maji
kiasi na upake badala ya dawa za kawaida.
17.Fanya kama na.16 kwa tatizo la ngozi
kuzeeka mapema.
18.Majani ya mpera yanaondoa tatizo la
kukatika kwa nywele. Chemsha majani
kisha wacha yapoe na ukande kwenye paji
na eneo la ngozi taratibu kwa dakika 15.
Wacha kwa dakika 30 kisha usha na maji
masafi bila shampoo au sabuni. Fanya
hivo mara 3 kila wiki.
Wengi waniuliza namna ya kuitengeza chai
ya majani wa mpera. Kuna namna mbili.
Aidha chemsha maji kama glasi nne
mpaka ikokote sana, chukua majani kama
10 ya mpera, weka ndani ya ule maji
moto alafu funika kwa dakika 10 - 15
koroga chuja, chai yako tayari. Aina ya pili
ni chemsha maji hayo pamoja na majani
yakiwa ndani. Iki-kokota ondoa kwa moto,
wacha kwa dakika 10 -15 chuja, chai tayar.
Waeza tumia majani ulio kauka pia. Kabla
nisahau ukichanganya na asali badala ya
sukari ndio bora zaidi.
Tuesday, May 16, 2017
FAIDA 17 ZA MAJANI YA MPERA. (DAWA NI BURE LAKINI TUNAJINUNULIA MARADHI)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Asante kwa kutuelimisha kuhusu majani ya mpera,yamenisaidia sana.
ReplyDeleteThanks for the update
ReplyDeleteNataka kutoa ushuhuda kuhusu jinsi nilivyopona kutokana na Virusi vya Herpes. Miezi michache iliyopita nilikuwa na dalili kadhaa. Nilienda kumuona daktari na vipimo vingi vya damu vilifanywa kwangu, baadaye niliambiwa nilikuwa na Herpes. Daktari wangu aliniambia kwamba hakuna tiba ya Herpes. Nilijisikia vibaya, niliingia mtandaoni nikitafuta tiba inayowezekana ya Virusi vya Herpes, niliona chapisho la Dkt. Dawn, daktari wa mitishamba anayewasaidia watu kupona kutokana na Herpes. Saratani. VVU na mengineyo. Niliwasiliana naye na kumwambia jinsi ninavyohisi. Alisema dawa yake ya mitishamba inaweza kuniponya. Alinitumia dawa kupitia huduma ya utoaji wa UPS na nilipokea dawa siku 6 baada ya kuituma, nilichukua dawa kama alivyoniagiza. Kabla sijakamilisha dawa dalili zilisimama. Nilienda kwa daktari na kufanya kipimo kingine cha damu, cha kushangaza nilikuwa hasi. Sijapata dalili tena. Dkt. Dawn ni mzuri na unaweza
ReplyDeletekuwasiliana kwenye WhatsApp: +2349046229159
Gmail ( dawnacuna314@gmail.com )
Ikiwa unahitaji dawa za mitishamba kutibu magonjwa yoyote sugu au ya zinaa kama.
HERPES.
SARATANI.
VVU/UKIMWI na zaidi