0711814255

STAR HERBALIST, TANGA

Jitibu kwa kutumia mimea tiba &

Wednesday, May 17, 2017

IFAHAMU DAWA YA MKOMBOZI

Karib sana kwenye blog yetu.
Image result for dawa ya nguvu za kiume
Ifahamu dawa ya mkombozi:  MKOMBOZI ni dawa maalumu ambayo hutibu kiuhakika na kuondoa kabisa tatizo la upungufu /ukosefu wa nguvu za kiume kwa wenye kisukari.
 Dawa hii imetengenezwa na mimea tiba. 


Dozi nzima inauzwa kwa Tsh: 90,000 ya kitanzania.
Kupata dawa hii wasiliana nasi kwa njia zifuatazo:
Simu namba  +255677619227

Fb page  www.m.me/MbwamboHerbalistClinic
 

PUNGUZA KITAMBI NA UNENE

PUNGUZA KITAMBI & UNENE WEWE
MWENYEWE KWA RATIBA ZIFUATAZO;
Hapa nakuletea ratiba ya kupunguza
unene/uzito
kwa muda wa siku saba kwa kutumia lishe
maalum;
(1)Siku ya kwanza asubuhi kula matunda
(lakini katika matunda hayo usile ndizi).Mchana chemsha kabichi,weka chumvi kidogo na nyanya na
upate supu kisha kula mchanganyiko huo.Jioni kula tikiti maji na mboga mboga au kabichi uliyotengeneza mchana.
(2) Siku ya pili kula mboga za majani
asubuhi (usile mboga za majani zenye wanga kama karoti).Mchana kula kabichi iliyochemshwa ,tengeneza na kachumbari.katika kabichi weka chumvi,pilipili na mafuta ya olive.Jioni unaweza kula mlo kama wamchana lakini unaweza kukaanga mboga nyingineza majani.
 

(3)Siku ya tatu kula mboga za majani na
matunda ,unaweza kuongeza kiazi kitamu
kimoja .
(4)Siku ya nne kula ndizi moja na unywe
na
maziwa ya mtindi wakati wa asubuhi
,Mchana kula
kabichi kama ulivyoitengeneza kwenye
siku ya
kwanza,usiku rudia mlo wa mchana.
(5)Siku ya tano kula nyanya nn pamoja na
samaki
au kipande cha kuku asubuhi.Mchana
unaweza
kula samaki wa kuchemsha kiasi ambaye
amechanganywa na nyanya.Wakati wa
jioni
unaweza kula chakula kama cha mchana.
(6)Siku ya sita unaweza kula chakula cha
protin
na mboga za majani.Anza siku kwa kula
kachumbari asubuhi.Mchana kula tambi
kiasi na
kipande kidogo cha samaki.Usiku
tengeneza supu
ya kabichi.
(7)Siku ya saba anza kwa matunda na
juisi,Mchana kula mboga za majani na
usiku kula
supu ya kabichi na kiazi kimoja.
NB:Unatakiwa kunywa maji angalau glasi
nne
kila siku.Dayati hii ni kwa siku saba tu.
Tembelea kila mara kurasa wetu huu pia
like.
Simu; 0677-619227
Tanga.

Related image

Tuesday, May 16, 2017

FAIDA 17 ZA MAJANI YA MPERA. (DAWA NI BURE LAKINI TUNAJINUNULIA MARADHI)

Image result for majani ya mpera
Mapera ni matunda ya msimu yenye wingi wa vitamini A na C, madini ya potasiam,nyuzi nzuri ya fiber na 'lycophene' vyotehivi ni muhimu kwa afya.Watu wengi hutumia tunda tu pasipokujua si tunda pekee lenye manufaa kwa afya. Majani ya mpera ni mazuri kwa ajili ya ngozi, nywele na afya kwa ujumla. Ifatayoni njia kadhaa za kutumia majani ya mpera
kwa ajili ya afya yako.
1.Chai ya majani ya mpera inasaidia mwili
kuwa stadi, inasaidia madini ya
carbohydrates isigeuzwe kuwa sukari
ndani ya mwili hivo kupunguza hamu ya
kula.
2.Chai ya majani ya mpera pia inashusha
kiwango cha sukari mwilini na kuzuia
mwili kuondoa 'insulin'. Kwa sababu ya hii
wagonjwa wa sukari wanashauriwa
kuitumia mara kwa mara.
3.Chai ya majani ya mpera pia hupunguza
lehemu mbaya(bad cholestrol) bila
kudhuru lehemu nzuri.
4.Chai hii ina nguvu za kudhibiti vijidudu
vya magonjwa mwilini hasa kuzuia
magonjwa ya kuharisha na kipindupindu.
5.Chai hii inatiza mchafuko wa tumbo na
pia inasaidia kukabili madhara yaletwayo
na chakula chenye sumu.
6.Chai hii hutibu kukooa na kupumua kwa
tabu.
7.Upatapo uvimbe wa fizi na maumivu
mdomoni kama jino kuuma, tafuna majani
ya mpera.
8.Kwa matatizo ya homa ya dengue,
chemsha glasi mbili na nusu na majani ya
mpera (kadiria majani 9) mpaka maji
yabakie nusu ya ujazo wa awali.
9.Chai ya majani ya mpera imefahamika
kutibu kansa na 'prostrate' kwa
wanaume.
10.Chai hii inasaidia kwa wanaume wenye
tatizo la kuzalisha (Infertility).
11.Ponda majani ya mpera na kuweka
sehemu ya kidonda au iliyokatika kuondoa
maambukizi. Kwa maumivu nje ya sikio
tumia chai ya majani ya mpera. Tia
matone ya chai hii iliyopoa kwenye
sehemu iliyoathirika.
13.Majani ya mpera hupondwa na
kupakwa eneo lenye muwasho uletwao na
allergy.
14.Unapoumwa na wadudu majani
yalipondwa ni tiba sahihi.
15.Majani ya mpera yana saidia kupigana
na mba na chunusi kutokana na wingi
wake wa vitamini C.
16.Kuondoa madoa meusi kwenye ngozi
ponda majani ya mpera changanya na maji
kiasi na upake badala ya dawa za kawaida.
17.Fanya kama na.16 kwa tatizo la ngozi
kuzeeka mapema.
18.Majani ya mpera yanaondoa tatizo la
kukatika kwa nywele. Chemsha majani
kisha wacha yapoe na ukande kwenye paji
na eneo la ngozi taratibu kwa dakika 15.
Wacha kwa dakika 30 kisha usha na maji
masafi bila shampoo au sabuni. Fanya
hivo mara 3 kila wiki.
Wengi waniuliza namna ya kuitengeza chai
ya majani wa mpera. Kuna namna mbili.
Aidha chemsha maji kama glasi nne
mpaka ikokote sana, chukua majani kama
10 ya mpera, weka ndani ya ule maji
moto alafu funika kwa dakika 10 - 15
koroga chuja, chai yako tayari. Aina ya pili
ni chemsha maji hayo pamoja na majani
yakiwa ndani. Iki-kokota ondoa kwa moto,
wacha kwa dakika 10 -15 chuja, chai tayar.
Waeza tumia majani ulio kauka pia. Kabla
nisahau ukichanganya na asali badala ya
sukari ndio bora zaidi.

Friday, March 24, 2017

TAARRIFA MAALUMU


Je unasumbuliwa na maradhi au matatizo yafuatayo na umehangaika kwa kipindi kirefu bila kupata ufumbuzi wa tatizo lako, kwa kutopata tiba na dawa sahihi?
 * Sasa tatizo lako limepata ufumbuzi, kwamba tunatibu kiuhakika na kuondoa tatizo lako kabisa kwa kutumia dawa za miti shamba toka hapa Tanzania, isiyochanganywa wala kuongezewa chochote. 
 Baadhi ya maradhi tunayotibu ni. 
* Upungufu / ama ukosefu wa nguvu za kiume 
Bawasili ( kutokwa kinyama sehem ya haja kubwaa 
 * Uzazi wa mpango wa da wa za miti shamba 
* Kurudisha nje uume ulioingia ndani 
 * Matatizo yoyote yanayo ambatana na hedhi ( wanawake) 
 * Ugumba wanawake & wanaume.
 * korodani 1 kuvimba. 
* korodani kurudi ndani
 * pumu * vidonda vya tumbo
 * kisukari
 * kutokwa vinyama vidogo vidogo sana sehem ya siri mpaka jirani ya tundu ya haja kubwa ( wanawake) 
 * kutopata hamu ya tendo la ndoa ( wanawake)
 * walio athilika na kujichua hatimae kukosa nguvu za kiume na wengine mbegu hutoka zenyewe wanapojisaidia haja kubwa au ndogo 
 * Kupata haja kama ya mbuzi( mnyama)
 * kuongeza uwiano sawa wa mbegu ( wanaume) na mengineyo. Tunatibu kiuhakika kwa dawa za miti shamba asilia.
 Mawasiliano; 0677-619227 
 Tupo Tanga.

Saturday, February 18, 2017

Je unasumbuliwa na Tatizo la nguvu za kiume?

No automatic alt text available.
Je unasumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa muda mrefu?
Kama ndio kuna dawa nimeipa jina la mkombozi ambayo imekuwa ikikomboa watu wengi juu ya tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hii imetengenezwa na miti shamba.

Je  upungufu wa nguvu za kiume ni nini? 
Ukosefu ama upungufu wa nguvu zakiume, ni ile hali ya wanaume kutokuwana uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwaukamulifu.
Dalili
ni kufika kileleni harakazaidi na kushindwa kurudia tendo zaidi ya mara moja.
VIASHIRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU AMA UPUNGUFU WA NGUVU
ZA KIUME;
1.Kushindwa kabisa kusimamisha uume.
2. Uume kusimama ukiwa legelege.
3. Kuwahi kufika kileleni.
4. Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa ktk baadhi ya staili mara nyingi mwanaume huyo huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili moja tu na ikibadiliswa staili nyingine anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume japo katika hali ya legelege.
5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama mpaka utomaswe tomaswe
sana au unyonywe uume.
6.Uume husinyaa wakati ukiwa ndani ya uke.

7.Uume kusinyaa mara tu baada ya
kutolewa ndani ya uke..
8. Kushindwa kurudia tendo la ndoa nk.
TUNATIBU NA KUPONYESHA NA   KUONDOA TATOZO KABISA KWA KUTUMIA DAWA YA MITI SHAMBA ASILIA ISIYOONGEZEWA WALA KUCHANGANYWA NA CHOCHOTE IITWAYO "MKOMBOZI" 

Wasiliana nami kupata dawa hii
MBWAMBO HERBALIST.
Tiba mbadala za miti shamba asilia.
simu;+255 677-619 227.
Tanga -Tanzania
 
 

Fahamu kuhusu Bawasili na Tiba zake

Image may contain: sky
Habari?
siku ya leo tunakwenda kuangazia macho kwenye Bawasili na tiba zake ni zipi, twende pamoja tukaondoe hili tatizo.
Je Bawasili ni ugonjwa gan? 
Ni ugonjwa unaotokana kwa kuathirika kwa mishipa ya damu kwa ndani na nje sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka na baadae husababisha kutokwa ni kinyama sehemu ya haja kubwa.

Ugonjwa huu kwa Lugha ya kitaalamu unaitwa HEMORRHOIDS .
Tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto wadogo.
Kati ya umri wa miaka 30- 50 wapo kwenye hatari ya kupata ugonjwa huu, Kuna aina mbili za bawasili.
Bawasili ya ndani na Nje 
CHANZO CHA TATIZO
~chanzo halisi cha ugonjwa huu
hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo
huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa
bawasiri ambayo ni ÷

.KUFANYA MAPENZI KINYUME NA
MAUMBILE
.KUHARISHA KWA MUDA MREFU
TATIZO LA KUTOPATA CHOO
.MATATIZO YA UMRI
.KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
.UZITO KUPITA KIASI
.MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA
MUDA MREFU
 Je utajuaje kama una Bawasili?
Zifuatazo ni dalili zaitakazo kujulisha kwamba unasumbuliwa na Bawasili
  • Ngozi kuwasha katika tundu la haja kubwa
  • Kupata maumivu wakati wa kujisaidia
  • Kutokea kwa uvimbe katika eneo la haja kubwa 
Je hizo dalili zipo kwako? kama zipo kuna dawa ya miti shamba inaitwa faraja ni mkombozi wako, Dozi kamili ya dawa hii ni siku 14 ( kumi na nne tu!).
 
Hivyo unaweza ipata dawa hii kwa kuwasiliana nasi 
MBWAMBO HERBALIST.
Tiba mbadala za miti shamba asilia.
simu;+255 677-619 227.
Tanga -Tanzania.

 

Thursday, February 16, 2017

Asali & Mdalasin hutibu saratani(Cancer)


Habari mpya kwako
Hivi unajua kwamba Asali na Mdalasini ni tiba ya Saratani?  kama hujui naomba tega sikio au soma kwa makini habari hii.
Utafiti uliofanyika huko nchini japan na Australia umeonesha kuwa asali na mdalasini vinauwezo mkubwa katika tiba ya ugonjwa wa saratani. Watu ambao wamekuwa wakitumia asali na mdalasin huwa wanapata nafuu sana.
MATUMIZI(JINSI YA KUTUMIA)
Tumia kijiko kimoja cha mchanganyiko wa asali na mdalasini kutwa mara tatu(3) .
NAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA NA UPONEVU IMARA
Hey, we've just launched a new custom color Blogger template. You'll like it - https://t.co/quGl87I2PZ
Join Our Newsletter